Washukiwa wa kikundi cha al - Shabaab wameshambulia kambi ya kijeshi ya Manda ilioko kaunti ya Lamu

Shambulizi hilo limeripotiwa kufanyika mwendo wa saa kumi alfajiri Jumapili, Januari 5.

Milio ya risasi inasikia hewani kwa sasa.

Habari Nyingine: Willy Paul asitisha chuki kati yake na mwanamuziki Rayvanny

Habari Nyingine: Esther Passaris afanyiwa upasuaji wa pili chini ya miezi 3 India

Shabulizi hili linajiri siku chache tu baada ya wanamgambo wa al- Shabaab kuishambulia basi moja mjini Lamu.

Taarifa zaidi kufuata...

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia news@tuko.co.ke au WhatsaApp: 0732482690.

Tazama habari zaidi kutoka hapa TUKO.co.ke

Subscribe to watch new videos

Chanzo: TUKO.co.ke

ncG1vNJzZmijmajEorTIpaBnrKWgvG%2BvzmeinmdjaH96g5RmrpqrmKq4qsPAZq6aZZGherS0wJuYmppdrK60tMCmma6kmZZ6rK3Mm6BmsZFiuKq2xKyfomWdn7avtYylmKatXp3Brrg%3D